Weka Oda Yako Sasa Kupitia Whatsapp. Tuna Deliver Dar Tu!

Duka La Mtandaoni La Vitenge Vya Duanas.

Tunakuletea vitenge vya hali ya juu kwa wakazi wa Dar es salaam. Vitenge ni vya Duanas, ni vizito na ni 100% cotton. Vinafaa kushona na kujifunga pia.  Tuna bei za kuvutia za mfanya biashara na matumizi ya binafisi. Karibuni sana.

Bei Zetu Halisi

Bei zetu zipo wazi kama inavyoonekana hapo chini. Chat Nasi Whatsapp kuweka oda.

Kitenge Kimoja (Pande Tatu)

TSH 30,000

Delivery Mteja ana changia TSH 2,000 kulingana na Umbali.

Vitenge vitatu

TSH 90,000

Delivery Ni Bure Kwa Dar Es Salaam

Vitenge Vitano+

TSH 25,000

Delivery Ni Bure Kwa Dar Es Salaam